nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Wengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo upwekeni.....
Bila kusamehe na kusahau hupelekea muhusika kuugua baadhi ya magonjwa na kupelekea vifo......ikiwa na maana kuishi na maumivu ya ndani kwa ndani ni sumu mbaya sana sana,,,,,,
kwa wewe mwenye access ya kuwa hapa jf upo sehemu sahihi,,,na kupa ruksa kupiga stori macho juu ...kuhusu hili na lile ili kupata kicheko......
MOYO ULIYO CHANGAMKA NI TIBA NA NI AFYA...... 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀