Wengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo upwekeni.....
Bila kusamehe na kusahau hupelekea muhusika kuugua baadhi ya magonjwa na kupelekea vifo......ikiwa na maana kuishi na maumivu ya ndani kwa ndani ni sumu mbaya sana sana,,,,,,
kwa wewe mwenye access ya kuwa hapa jf upo sehemu sahihi,,,na kupa ruksa kupiga stori macho juu ...kuhusu hili ma lile ili kupata kicheko......
MOYO ULIYO CHANGAMKA NI TIBA NA NI AFYA...... π π π π π π π π π π π π π π
Pole sana mkuuNilimpoteza mama yangu sababu ilikuwa ni upweke mwenzie alimkimbia akiwa anaumwa maza akapata mawazo akafriki Baada ya mfupi
Ile kitu namimi kuipata Baada ya kutengana na mwenzangu. Mwenzangu kwasababu ya hali yangu ya uchumi toka hapo nimekua mwenye hasira za Karibu
Depresion kubwa
Lakini kinachonishangaza mkuu ni yule manzi toka nimeachana sijawah Pata mahusiano ya kudumu. Miaka mitatu imetumia mahusiano zaidi ya kumiPole sana mkuu
Issue yako naona kama imekaa kiroho zaidi,,,,,hasa kwenye mambo ya kurithi kifamilia.....hebu zama kwenye dua na sala kwa imani yako kwa siku kadhaa,,,,halafu ucheki upepo.
Ni humu tuWengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahu
Kusamehe nakubal ila happy kwenye "kusahau" π ni uongo labda useme design unapotezea ila kusahau aaah Mzee tunadanganyana ππWengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo upwekeni.....
Bila kusamehe na kusahau hupelekea muhusika kuugua baadhi ya magonjwa na kupelekea vifo......ikiwa na maana kuishi na maumivu ya ndani kwa ndani ni sumu mbaya sana sana,,,,,,
kwa wewe mwenye access ya kuwa hapa jf upo sehemu sahihi,,,na kupa ruksa kupiga stori macho juu ...kuhusu hili na lile ili kupata kicheko......
MOYO ULIYO CHANGAMKA NI TIBA NA NI AFYA...... π π π π π π π π π π π π π π
Kusamehe nakubal ila hapo kwenye "kusahau" π tunadanganyana labda useme as if Kama unapotezea flani hiv lakini et kusahau mazima ππ oii n uongo painful memories survive than good memories.Wengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo upwekeni.....
Bila kusamehe na kusahau hupelekea muhusika kuugua baadhi ya magonjwa na kupelekea vifo......ikiwa na maana kuishi na maumivu ya ndani kwa ndani ni sumu mbaya sana sana,,,,,,
kwa wewe mwenye access ya kuwa hapa jf upo sehemu sahihi,,,na kupa ruksa kupiga stori macho juu ...kuhusu hili na lile ili kupata kicheko......
MOYO ULIYO CHANGAMKA NI TIBA NA NI AFYA...... π π π π π π π π π π π π π π
Huyo atakua mshirikina, alikufanyia agano baya. Kuna rafiki yangu alipitia changamoto kama yako kwa miaka 20, mwaka jana ndo kabahatika kuoa, baada ya kufanikiwa kulivunja agano hilo.Lakini kinachonishangaza mkuu ni yule manzi toka nimeachana sijawah Pata mahusiano ya kudumu. Miaka mitatu imetumia mahusiano zaidi ya kumi
"Alinitamkiaga utapata mwanamke kama mimi" kila mahusiano niliyoingia hayakudumu
KAtaa hiyo roho kwa imani.Lakini kinachonishangaza mkuu ni yule manzi toka nimeachana sijawah Pata mahusiano ya kudumu. Miaka mitatu imetumia mahusiano zaidi ya kumi
"Alinitamkiaga utapata mwanamke kama mimi" kila mahusiano niliyoingia hayakudumu