Wakijitokeza ambao wana support CDM qmmk utasikia kelele za udiniMasista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.
Mimi nampenda mama. Mama Samia ni mtu poa kabisa. Sema wanaokuzunguka ndo wanamlet down. Mungu akijalie afya na maisha marefu rais wetu. Najua utamuachia braza lissu.Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.
Wahuni siyo watu wazuri kabisa. Masista wameingia kwenye mfumoMasista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.
DuhNchi inakwenda kuf.rwa kwa miaka mi5 chini ya huyu kilazaa!
DuhWahuni siyo watu wazuri kabisa. Masista wameingia kwenye mfumo
Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.
Masistaduu wa zamani wamezingua sanaMbona ukaingia mitini na uzi wako ndugu?
Wahuni siyo watu wazuri kabisa. Masista wameingia kwenye mfumo
Novena ishaondoka na Masista wa4 kule Mwanza na Kardinali akafata. Au bado tu Novena haijafanya kazi?Novena ilianza hili dua litasubiri kidogo katika foleni ya Mungu Mwenyezi.
Masistaduu wa zamani wamezingua sana