The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Why does that matter, kama Samia mwenyewe hata hatumtaki?Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa unyama alioonyesha Samia ambaye wengi walihadaika kuwa ni mwamamke angekuwa gentle, akimteua Tulia asiyetulia mwanamke mwenzake itakuwaje?
Je, watanzania watamkubali au kumfurusha?
Hapana, sitaki. Akuteue weweAkuteue ww
Huyu Tulia aliye ficha ripoti za cag na ripoti za itel kuagiza sukari na video na kutekwa Kwa watu au mwingine.Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa unyama alioonyesha Samia ambaye wengi walihadaika kuwa ni mwamamke angekuwa gentle, akimteua Tulia asiyetulia mwanamke mwenzake itakuwaje?
Je, watanzania watamkubali au kumfurusha?
ujinga tu mtu fake kuteua mtu fake inabadilisha nini!Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa unyama alioonyesha Samia ambaye wengi walihadaika kuwa ni mwamamke angekuwa gentle, akimteua Tulia asiyetulia mwanamke mwenzake itakuwaje?
Je, watanzania watamkubali au kumfurusha?