Samia amenitakia Heri ya mwaka mpya haijawahi kutokea

Samia amenitakia Heri ya mwaka mpya haijawahi kutokea

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Samia nimeona nikujibu huku mama.

Asante ujumbe wako nimepata, familia yangu imefurahi sana nimewasea ujumbe. Nachukua nafasi hii mimi na familia yangu kukutakia heri ya mwaka mpya pia karibu kwetu.

Nimefanya hivi kwa kuwa najaribu kujibu kwa namba iliniuma inagoma kabisa.

Ni mimi baba chanja.
 
Back
Top Bottom