Ndiyo AnalipwaPosho zake za kutangaza utalii wa ndani๐๐
Na wewe sifia uone kama utapata.Kusifia kwake ndo malipo yake hayo
Huyu na ye hakusahauliwa...Wakuu,
Rais Samia ametangaza kuchangia Milioni 20 Ujenzi wa kanisani la Feel Free Church la Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji.
Soma pia: Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT
Samia ametangaza mchango wake huo kupitia akaunti yake ya X
View attachment 3185431