Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hahahaha mgongo wenye nundu tenaTyson vs mkuu wa WILAYA magoti mwenye mgongo wenye nundu ni ushindi wa heshima.
Itakuwa anamaanisha ACT na CHAUMMAHahahhaaa kichekesho, yaani mpinzani mkuu umuweke ndani kwa kuogopa ushindani halafu uje useme unataka ushindi wa heshima?!.
Akili au matope???.