PostGE2025 Samia hana uwezo wa kuingia mitaani kuongea na wananchi. Kadri anavyoendelea kuua anaongeza hasira za watu!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Majinga yatasombwa na malori yatapewa jina la vijana wa hamasa yatakuwa yanashangilia Kila mara Samia ng'weeeee Samia ng'waaaaaa
 
Halafu Kuna wanawake wanapiga jaramba baada yake na wao wana ndoto,nia,wanataka/wanashauku ya kuwa Rais wa pili mwanamke Tz.
Never haitatokea miaka ya usoni mwao mpk Gez ipotee,na ikipotea Basi Rais atakuwa robot AI na Waziri mwanadamu.
Hapa nimefurahi sana mkuu kwamba rais atakuwa robot AI! Vipi kama ikiwa ni lile la Nape? Si watakwisha raia?
 
Hapa nimefurahi sana mkuu kwamba rais atakuwa robot AI! Vipi kama ikiwa ni lile la Nape? Si watakwisha raia?
Wakusoma ,kizazi chenye vinasaba vya kisomi na generation ya Artificial ambao kwa sasa home work zote wana solve kwa Ai,bila Shaka hawawezi fanya Upuuzi kama wa akili ya nape.
 
Uwezo wake mdg halafu anang'ang'ania kuwa rais, huyu alipaswa kuwa naibu waziri ustawi wa jamii huko!
Nimeona taarifa ya AFP kuwa Samia aliyeonekana kuwa Rais mwenye kujali ghafla alibadilika na kuwa Rais mbaya kuliko marais wote!! Ulichokisema ndicho ambacho Dunia nzima inajua. Kaa sasa anaonekana kuwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi aliye mbaya kuliko wote Duniani.
 
Majinga yatasombwa na malori yatapewa jina la vijana wa hamasa yatakuwa yanashangilia Kila mara Samia ng'weeeee Samia ng'waaaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…