Samia kafungua nchi kiuchumi badala ya kuchangamka mmeamua kumsikiliza Mange

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nchi hii Rais Kikwete aliweza kufungua uchumi uende kwa wananchi, ndipo Watanzania wakafungua makampuni kwa wingi, watu walijenga mpaka maghorofa, biashara zilianzishwa, nyumba za kisasa Tanzania zikajengwa.

Magari nayo yakaingia kwa wingi. Watu wakaanza kuishi kama watu.

Akaja jamaa mmoja mpenda sifa akaharibu kila kitu. Watu wakafilisika , kampuni zikaanza kufa kabisa. Ujenzi wa nyumba za kisasa ukasuasua.

Bahati mbaya Maskini wakamshangilia wakiamini sasa matajiri watahamia Uswahilini kugombea vyumba vya elfu 40. Kweli ukiwa maskini automatically unakuwa huna akili.

Amekuja Samia , kufungua uchumi kwa mageti yote. Kwa bahati mbaya vijana badala watumie fursa wao wako busy na betting na futuhi za Mange.
Yaani hata fursa kama hii kijana umeshindwa?
Your browser is not able to display this video.
 
Usiende kumuhudumia mumeo saa hizi upo Jamiiforums unazungusha miuno kuandika andika ujinga
 
Samahani mweshimiwa nina swali:,

Huu ujumbe umewaandikia matajiri peke yao au masikini peke yao? Nataka kujua kama unanihusu au lah! Kabla sijachangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…