Mbowe na Samia ni Viongozi wa mfano sana kwa Taifa hili,
Nashauri CHADEMA wamchague tena Mwenyekiti Freeman Mbowe na sisi CCM tutamchagua tena Dkt Samia Suluhu Hassan.
Wawili hawa wanafaa sana kuliendesha Taifa letu kwa amani na Upendo,
Hii chemistry ya Mkt Mbowe na Mkt Samia ni yamanufaa sana kwa Taifa
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia
Mungu mbariki Mwenyekiti Mbowe