Taifa linangamia kwa kuendekeza uchawa na machawa,na kuwapatia majukumu muhimu ya taifa hili huku uwezo,na uadilifu na hata ufahamu wa utumishi wao kwa wananchi na taifa ukiwa unakosa kama sii uwezo,uadilifu.Tujirekebishe kama taifa,ile kauli kujua kusoma na kuandika pekee inatosha tuilaani kwa nguvu zote na iwe fundisho kuwa taifa linavihitaji vipaji vya watu wataifa hili ili kuliepusha na maafa na ukosefu wa kimaadili ya kiuongozi na kiutumishi.Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!
Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.
Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
Watu wenye elimu za hapa na paleSamia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!
Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.
Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!
Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.
Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
Kwanini msimteke kama jadi yenu? Mara wageni mara Chadema sasa hivi ni Kanisa. Mtasema yote na badoTEC inatumika vibaya na Fr Kitima.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!
Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.
Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
Kwa hiyo ukemeaji utekaji na Mauji na Ufisadi kumbe vinaweza kutupeleka kwenye machafukoTEC inatumika vibaya na Fr Kitima.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!
Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.
Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
Umenikumbusha kisa cha abunuasi,huyu Samuya ni abunuasiInakuaje baada ya kuanguka unaanza kuwalaumu waliokupa maonyo? Kwamba ndiyo wamesababisha uanguke!! Huko ni kukosa aibu na ubaya wa waziwazi.