R ruaharuaha JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 4,453 Reaction score 5,719 Nov 19, 2025 #21 Anajipanga kuliingiza Taifa kwenye aina zote za machafuko kama ya mauaji, utekaji, utesaji, kupoteza watu, ubakaji, ufiraji. Aina zote za utengano na migogoro ya kichama kidini, kikanda, Visiwani, bara, ukabila ili abaki madarakani.
Anajipanga kuliingiza Taifa kwenye aina zote za machafuko kama ya mauaji, utekaji, utesaji, kupoteza watu, ubakaji, ufiraji. Aina zote za utengano na migogoro ya kichama kidini, kikanda, Visiwani, bara, ukabila ili abaki madarakani.
S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,446 Reaction score 3,616 Nov 19, 2025 #22 Wenyewe hawana habari na udini kabisa.
O olfactory JF-Expert Member Joined Jul 14, 2025 Posts 536 Reaction score 909 Nov 19, 2025 #23 tushike lipi matak.o yake?. wageni toka nchi jirani, chadema au TEC?
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,980 Reaction score 8,321 Nov 19, 2025 #24 Naiona Tanzania kugawika pande mbili upande wa Mashariki na Magharibi
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Nov 19, 2025 #25 Watanzania wa Leo sio wale wakale. Hatuwezi kugawanyika Kwa misingi ya dini Sisi mchawi wetu ni CCM wala sio bakwata
Watanzania wa Leo sio wale wakale. Hatuwezi kugawanyika Kwa misingi ya dini Sisi mchawi wetu ni CCM wala sio bakwata