Samia Scholarships students 2025-2026 mwenye nayo atuwekee hapa please

Nimeona kuna VINYOZI WA MAMA nikacheka sana. Niko hapa Moro, nimepishana na msafara wa magari yenye usajili wa SMZ, sijui wanaenda Dodoma kuweka mambo sawa.....hahahahaah
 
Mkuu fursa nyingi zinazokuja kwa jina la mama au Samia hususan kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu zimekaa kimchongo sana. Vijana wawe makini wasije wakaishia kupata depression.
 
Mkuu fursa nyingi zinazokuja kwa jina la mama au Samia hususan kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu zimekaa kimchongo sana. Vijana wawe makini wasije wakaishia kupata depression.
uko sahihi, inaweza kuwa kuwarubuni wapiga kura kumbe can not sustain to finance watoto mpaka mwisho. Lakini kuna kijana mmoja anchukua udaktari bingwa mwaka wa tatu wanamlipia......
 
uko sahihi, inaweza kuwa kuwarubuni wapiga kura kumbe can not sustain to finance watoto mpaka mwisho. Lakini kuna kijana mmoja anchukua udaktari bingwa mwaka wa tatu wanamlipia......
Scholarship zipo ila sio kwa kiwango kinachotangazwa na kufanyiwa promo. Siasa zimeingia hata sehemu zisizostahili.

Nimeona CRDB benki wanawarubuni makundi ya wafanyabiashara wadogo wafungue akaunti kwa ahadi ya kupewa mikopo. Wakina mama wajasiriamali wanatoa shilingi elfu 10 halafu wanakusanywa na kupewa ahadi hewa. Wanachokifanya ni dhuluma kubwa sana. Kuna sehemu kata ya mwandege mkuranga mkoa wa pwani wamekusanya elfu kumi za kufungua akaunti kutoka kwa mamia au maelfu ya wajasiriamali ila mpaka sasa hawajatoa mikopo wanawazungusha tu.
Maafisa mikopo wa CRDB na idara za masoko wanajivunia kuongeza idadi ya wateja kufungua akaunti zao kwa njia haramu ya udanganyifu na kulaghai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…