kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Samia scholarship aijaanza kipindi hikiMkuu fursa nyingi zinazokuja kwa jina la mama au Samia hususan kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu zimekaa kimchongo sana. Vijana wawe makini wasije wakaishia kupata depression.
nimekupata vema.Yaaan hao 100 ndo wenye Vigezo na ndo wanahitajika kama upo kwenye list apo bdo utahitajika kuomba ila kama haupo hapo ata usijisumbue
Mwaka huu 99.95% wamefaulu. Hiyo scholarship hipo kweli?Ukienda kwenye website ya HESLB na Wizara ya elimu hakuna list ingawa Mabumbe wanakwambia list iko. Mwenye nayo atuwekee hapa please
- Download PDF Samia Scholarship Invited to apply students ukienda hapa hakuna kitu
uko sahihi. ufaulu wa kitoto kabisa naweza sema. lakini mkenda kasema watakwenda kwenye raw marks...mfano kama wote wana div 1 pt 3, watakwenda kweye raw marks. Aliyepata 99 atachukuliwa na kuachwa wa 98! tafuta clip inazunguka ameeleza hivyoMwaka huu 99.95% wamefaulu. Hiyo scholarship hipo kweli?
Ukienda kwenye website ya HESLB na Wizara ya elimu hakuna list ingawa Mabumbe wanakwambia list iko. Mwenye nayo atuwekee hapa please
- Download PDF Samia Scholarship Invited to apply students ukienda hapa hakuna kitu