Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Imagine🤷🏾♂️Kila anachokifanya hakiendani kabisa na ushindi wa 97.6%!
Kwa hiyo hapo anawakimbia 2.4%.Kila anachokifanya hakiendani kabisa na ushindi wa 97.6%!
Hiyo ni namba tu, imeandikwa.Kila anachokifanya hakiendani kabisa na ushindi wa 97.6%!
Hotuba ya kutoa mwelekeo wa uendeshaji serikali kufuata ilani iliyoweka Chama madarakani huko Bungeni itakuwa lini?Kila anachokifanya hakiendani kabisa na ushindi wa 97.6%!
Kuna mwenyekiti alikimbiza mabox ya kula ndani kwake anayo hadi leo na eneo lake limeyangazwa matokea 🤣🤣🤣Hiyo ni namba tu, imeandikwa.
Waliopiga kura hata 2M hawakufika.
Wafungue tu tuwape lesson ya hisabati. Vilaza wakubwa!Ajabu mno, hataki wapiga kura mil.31 wampongeze, haijawahi kutokea😂😂
View attachment 3496741