figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kimsimgi rais hajipangii kila kitu, yapo mambo mengi sana anapangiwa.Samia Suluhu mnafiki, alitudanganya kapunguza Misafara.
Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne.
Tulitafuta Rais tukampata Samia..
Anatumia Mali za Tanganyika.. Anajua hana cha kupoteza.. Kuna wajomba zake Oman
View attachment 3596688
Samia Suluhu, alitudanganya kapunguza Misafara.
Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne.
Tulitafuta Rais tukampata Samia..
Anatumia Mali za Tanganyika.. Anajua hana cha kupoteza.. Kuna wajomba zake Oman
View attachment 3596688
View attachment 3596691
Note: Hii ni Propaanda
Tanganyika awamu hii tumepatikana.Samia Suluhu, alitudanganya kapunguza Misafara.
Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne.
Tulitafuta Rais tukampata Samia..
Anatumia Mali za Tanganyika.. Anajua hana cha kupoteza.. Kuna wajomba zake Oman
View attachment 3596688
View attachment 3596691
Note: Hii ni Propaanda
Mnooo dah.Tz tuna hasara sana awamu hii!!.
ChaiKuna viongozi protocol haziruhusu Kuwaweka CDF, IGP, CGP, VP, Speaker, CJ, CS , DGTISS kwenye basi moja its not practicable pia kuna RC RAS , DED na DC’s DAS wa Mkoa husika ndiyo maana msululu ni mrefu.
Huna akiliGari za CCM zinafanya nini kwenye msafara.
Hii ni clip wakati wa kampeni.