Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri

Ubaya wa Magufuli ulikuwa kwa wakina nani? Yaani kudhibiti uwizi wa rasilimali zetu kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ndio ubaya wake? Hata mjaribu vipi kumchafua dunia imeshashuhudia kuwa mwamba alikuwa ni kipenzi cha watanzinia kutokana na kazi zake.
 
Kama ulikosa uteuzi wakati wa jiwe pamoja na kujikomba (kuwa chawa) usitegemee kuupata kipindi hiki.
 
Sukuma GANG imeibuka?Ila sijui mzee ulimkosea pamoja na juhudi zako zote hakukupa hata UDC
 
Comment of the day
 
Bwana paskali unajua sana kuandika na kupangilia makala.... Umesoma mpaka la ngapi?
 
Unajua Paskal,the Economist ni mali ya akina Rothschild,ambao ndio wanao own Mossad,CIA,MI6 nk.Nimetaja Mossad kwanza kwa sababu ya uhusiano wao na Glencore na possibly kifo cha Rais wetu.

Unajua,angering Glencore in particular is a risky business. The commodities giant was originally founded by Marc Rich, an infamous asset for Israel’s Mossad.Sasa Magufuli aliwanyang'anya Glencore rights za Nickel mining at Kabanga,venture ambayo macho yote ya Glencore yalielekezwa hapo.Kwa ninavyo wajua Mossad,that was an extremely dangerous undertaking for Magufuli.Hawa jamaa wao kutengeneza cardiac arrest with or without a pace maker sio kazi sana kwao.

Sasa hawa wanapozungumza positively kuhusu Mama Samia,wanafanya hivyo kwa kudhani kwamba labda ata-reverse misimamo ya Comrade Magufuli kuhusu resources na C-19 hasa wakizingatia mahusiano ya nyuma.Kama hayo yatatokea sijui,ngoja tusubiri.
 
Conspiracy theorist at work..
 
Pasco unajaribu bahati kwa Mama
Angalia tarehe ya bandiko hili
P
 
Lakini zipo sababu za kibinadam.....leo sitazitaja haya bwana Pasco ,nimekuelewa sana....

Kibaya zaidi ,nikujaribu kuwa sawa na Mungu ,hili lilikuwa kosa kubwa sana, wapambe mlishindwa kabisa kuonya.
 
Wanabodi,
]
...
Uongo humu ni upi na una madhara gani, endelea kuandamana nami.

Paskali

Paskali bandiko lako kuhusu makala ya "The Economist" haina uongo bali kumtaka/kumwelekeza Rais SSH nini cha kufanya ili malengo yao yatimie. Madhara yake ni pale Rais atakapocheza ngoma yao hiyo.

Nina imani kubwa Rais SSH ataendeleza "legacy" ya Hayati Magufuli kuelekea Tanzania mpya, ambayo mtangulizi wake aliitazamia. Kwamba amemteua Dr Mpango kuwa Makamu wake, ni ushahidi wa hoja yangu.
 
Usianze kujipendekeza kwa speed kubwa kama ulivyofanya kwa jiwe na mwisho wake ukatoka kapa.

Wenzako kina Bashite walikuwa wanajipendekeza kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…