GE2025 Samia: Tumeongeza makusanyo ya mapato ndani ya nchi kuepuka manyanyaso ya mikopo na misaada kutoka nje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea mkoani Kilimanjaro, mgombea Urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali ya Chama hicho imeongeza mapato ya ndani ili kuepuka manyanyaso ya mikopo na misaada ya nje. Ameyasema hayo leo Septemba 30, 2025 katika jimbo la Mwanga Mkaoni Kilimanjaro

Soma pia: Rais Samia: Misaada na mikopo wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu


Your browser is not able to display this video.
 
Kutokana na Pole pole, hii mifuko ni njia za kuwaibia wananchi, rejea pesa za JK.
 
Kwanza amuombe msamaha Job Ndugai posthumously!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…