Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu jamaa naye anaongea utafikiri ana basics za uchumi na maendeleoMgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika eneo la Dakawa, Mvomelo, Mkoa wa Morogoro leo, tarehe 30 Agosti 2025, amesema lengo la Serikali ni kuona Tanzania ikijitegemea kiuchumi kufikia mwaka 2050, bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje, akisisitiza umuhimu wa sera na mikakati endelevu ya maendeleo inayolenga kuimarisha uchumi wa taifa na kuboresha maisha ya wananchi.
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika eneo la Dakawa, Mvomelo, Mkoa wa Morogoro leo, tarehe 30 Agosti 2025, amesema lengo la Serikali ni kuona Tanzania ikijitegemea kiuchumi kufikia mwaka 2050, bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje, akisisitiza umuhimu wa sera na mikakati endelevu ya maendeleo inayolenga kuimarisha uchumi wa taifa na kuboresha maisha ya wananchi.
So sad!😌🥺Kama nchi tumeingia cha kike
Inaelekea akishuka hapo chawa wanamwagia sifaAnajisikiliza kweli?