Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Anasubiri baada ya uchaguzi kwanini wasifanye hivyo sasa hivi?Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan amewaahidi Wakazi wa Tarafa ya Nakapanya kuwa serikali imedhamiria kununua Ndege ndogo za kurushwa angani (Drones) tano ambazo zitasaidia zoezi la kufukuza wanyama waharibifu wanaovamia makazi na kuharibu mazao ya wakulima.
Dkt Samia ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na wakazi wa Tarafa ya Nakapanya iliyopo Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma wakati akihitimisha ziara za Mikutano ya kampeni katika mkoa huo.
Tarafa ya Nakapanya ni miongoni mwa maeneo ambayo yamekuwa yakisumbuliwa na wanyama wanaovamia makazi na kuhatarisha Usalama wa Wananchi na Mazao yao.
Hawa wanapewa ulinzi, kupandishwa vyeo na kuhongwa Rolls Royce, Merc G Wagon, bilioni za kutosha.Vp kuhusu wanyama wanaoteka binadamu wenzao?
Tutumie nini kuwapata!
Wakina KINGAI wanakula dodo tu!Hawa wanapewa ulinzi, kupandishwa vyeo na kuhongwa Rolls Royce, Merc G Wagon, bilioni za kutosha.
Hawa ni ni viumbe adimu wataendelea kuwapo na hatuwakemei wanafanya kazi nzuriVp kuhusu wanyama wanaoteka binadamu wenzao?
Tutumie nini kuwapata!
Wazo la kununua drones?nakubalina na mama ni wazo zuri
ndege nyukiWazo la kununua drones?
Nina hata za kufichua wizi wa kuraMgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan amewaahidi Wakazi wa Tarafa ya Nakapanya kuwa serikali imedhamiria kununua Ndege ndogo za kurushwa angani (Drones) tano ambazo zitasaidia zoezi la kufukuza wanyama waharibifu wanaovamia makazi na kuharibu mazao ya wakulima.