Tunasubiri kwa hamu kuona ikitangazwa kitaifa siku hiyo tukiwaona kwenye Tv mkipiga ngoma mkiwa mmebeba picha za maiti zile mkimtukuza Allah kwa kuwasaidia kuwaangusha maadui waliotaka kuwapora ugali wenu ...😁Uongozi ni mchakato. Kila kinachokuwa ndani ya mchakato lazima kifuate ratiba.
Rais ni kiongozi wa taasisi anazungukwa na washauri wengi. Tuvute subira naamini hilo linakuja.
Binadamu kaumbiwa msamaha. Jana Rais SSH kafikisha ujumbe kwenye jamii ya kimataifa kuhusiana na amani.Tunasubiri kwa hamu kuona ikitangazwa kitaifa siku hiyo tukiwaona kwenye Tv mkipiga ngoma mkiwa mmebeba picha za maiti zile mkimtukuza Allah kwa kuwasaidia kuwaangusha maadui waliotaka kuwapora ugali wenu ...😁
Huyu unadhani ana aibu? Huyu mtu hana elimu. Mtu asiyekuwa na elimu hana aibu pia. Wewe humuoni hana hata habari, ndio kwanza anazidi kujisifu kwa mauji.
🚮Binadamu kaumbiwa msamaha. Jana Rais SSH kafikisha ujumbe kwenye jamii ya kimataifa kuhusiana na amani.
Kaongea na mabwana zao kina TAL na Heche moja kwa moja.
Kwani sasa hivi imesafishika?Mlitaka kuichafua nchi iwe uwanja wa vita iwe kama Liberia ya miaka ya 2000 mwanzoni kwamba mwenye nguvu ndio atakayekula siku hiyo. Kwamba mwenye bunduki ya kisasa ndio atakayepata kila anachokitaka.
Mmetiwa adabu vizuri sana.
Tumejifunza kitu japo kwa somo gumu na baya sana.Kwani sasa hivi imesafishika?
Mimi naona akae mpaka AFIE hapo, maana ni ATAKUFA tu.Huyo yupo kikatiba, 2030 mpige kura mkileta ujinga wa mwaka jana mtasubiri mpaka 2035.
Ameliweka kiufundi sana, hongera sana dogoHakuna tusi jipya bwana mdogo.