Zanzibar hakuna maneno mengi.Huo usanifu umesemwa toka mwaka 2023 hadi leo bado usanifu haujaisha wakati angekuwepo mwamba mwenyewe JPM hata ujenzi ungekuwa umeisha.
Kujenga Tanganyika kwake ni shida sana ila Zanzibar kutwa kucha wanajenga tu
Huo usanifu umesemwa toka mwaka 2023 hadi leo bado usanifu haujaisha wakati angekuwepo mwamba mwenyewe JPM hata ujenzi ungekuwa umeisha.
Kujenga Tanganyika kwake ni shida sana ila Zanzibar kutwa kucha wanajenga tu
Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa usanifu wa upanuzi wa Barabara ya Njia sita kutoka maili moja Hadi Chalinze lakini pia Kutakuwa na ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo haraka kutoka Kibaha Hadi Chalinze itakayojengwa Kwa ubia kati Sekta ya UMMA na Sekta Binafsi(PPP)
Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Viwanja vya Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025.
Fungu lipo ila nia haipo na haitakuwepoHuo usanifu mbona ni wa muda gani ndefu hivyo...Labda kinachokwamisha pengine ni uwepo wa fungu la kutosha otherwise kazi ianze hata kwa awamu
Kwa hiyo shida yeti ni barabara, si ndiyo?Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa usanifu wa upanuzi wa Barabara ya Njia sita kutoka maili moja Hadi Chalinze lakini pia Kutakuwa na ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo haraka kutoka Kibaha Hadi Chalinze itakayojengwa Kwa ubia kati Sekta ya UMMA na Sekta Binafsi(PPP)
Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Viwanja vya Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025.
Sio hadi morogoro tens!Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa usanifu wa upanuzi wa Barabara ya Njia sita kutoka maili moja Hadi Chalinze lakini pia Kutakuwa na ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo haraka kutoka Kibaha Hadi Chalinze itakayojengwa Kwa ubia kati Sekta ya UMMA na Sekta Binafsi(PPP)
Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Viwanja vya Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025.