Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kwakweli.
Hahaha swali hili hawezi kulijibu hata mbele ya YudaKwakweli.
Ila Mh! Rais, watu wanatekwa sana na kutoonekana tena. Tatizo ni gani mama
ila tatizo, wenye kuhoji maswali kama haya, nao wanapotea na kutoonekana tena. au tafsiri ya UTU katika namna yao, ni kuhakikisha watu wanaishi kwa hofu, mashaka na kudhulumiwa haki ya kuishi ? Najua mama yetu msikivu, anaweza tufafanulie hiiHahaha swali hili hawezi kulijibu hata mbele ya Yuda
Hivi mfano wakiua raia 1,000 wasio na hatia wataendelea kuua tu? Kisa wameandamana? Swali fikirishiBi mkubwa anaendelea kuwatisha watanzania ambao wapo tayari kutetea nchi yao.
Ila hivi vitisho vina mwisho wake kwa wale wote wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania wengine.
Utu maana yake ni Utulivu km ulikua hujui nimekufumbua sio Utu ule unaoujua wewe Utu ni kifupi cha Utulivuila tatizo, wenye kuhoji maswali kama haya, nao wanapotea na kutoonekana tena. au tafsiri ya UTU katika namna yao, ni kuhakikisha watu wanaishi kwa hofu, mashaka na kudhulumiwa haki ya kuishi ? Najua mama yetu msikivu, anaweza tufafanulie hii
Mkuu wangu, mbona hata huo utulivu haupo huku kijijini kwetu, ni heka heka tu.. Na leo magari yao ya matisho wameyazagaza uswahili..Utu maana yake ni Utulivu km ulikua hujui nimekufumbua sio Utu ule unaoujua wewe Utu ni kifupi cha Utulivu
Ndio Utulivu wanaouzungumzia huo wewe ulifikiri Utulivu upi?Mkuu wangu, mbona hata huo utulivu haupo huku kijijini kwetu, ni heka heka tu.. Na leo magari yao ya matisho wameyazagaza uswahili..
Dah! hapo nimekuelewa sasa mkuu..Ndio Utulivu wanaouzungumzia huo wewe ulifikiri Utulivu upi?
Wanasema mtu mmoja inaweza ikawa na ID 100 mtandaoni kwa hio hapa wote tunaonekana mtu mmoja kuanzia mleta mada mpaka wewe uliechangiaTuko salama kweli?