Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Katuwakilisha vyema kabisa na pasipo kuwepo na ule ufigisu figisu angekuwa amwaweka nje ndani hawa majogoo

Big up le capitain
Screenshot_20191105-234447.jpeg

43 min

Terrific run and header from the corner. The Tanzania centre-forward bullets it in at the near post, beating Alexander-Arnold and Milner comprehensively in the air. A minute earlier Salah had flashed a left-foot shot wide and conceded a corner by initially drowsing during a rapid counter-attack.
 
Amefunga goli uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga goli uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.

Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
 
Amefunga gori uwanja mgumu wa amfried hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.

Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara

uwanja wa amfried unapatikana wapi mzeiya?
 
Back
Top Bottom