Sammatta apata timu Ulaya


Ajitahidi kuwa mature, si kusaka ulaji, ni kufanya kazi. Aende kwa mentality ya kufanya kazi na ndo maana watu kama Ronaldo na Toure bado wako kweye gemu, kama ni ulaji tayari wanao sema wanaichukulia ni kazi zaidi. Ama mtu kama Framini yuko arsenal si kwa pesa zaidi. Watz tunakosa hiki kitu kwenye vichwa vyetu na ndo maana tunapenda shortcut za fasta.
 
asije akawa kama bobanibobani hadi leo hajapata dili nyingine mara nyingi huwa bahati haiji mara mbili
 
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.

Ubelgiji Sio mbaya kuanzia.

Tatizo mnataka watu waende English premier league Moja kwa moja mnasahau hao wachezaji waliokuwepo epl walianzia chini.

Kila la kheri Samatta, ukifika huko jitume sana na utasonga mbele.Nidhamu nikitu muhimu sana na kaa mbali na vishawishi vitakavyo kusababishia matatizo.

Mungu akulinde na kila la kheri kwenye kuendeleza kipaji chako.
 
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.

Ila ndo wenye timu ya kwanza kwa ubora duniani kwa sasa upande wa timu ya taifa!
Maana yake ligi yao inazalisha nyota! Kina Hazard wote walianzia hom!
 
Genk Fc ni klabu kubwa sana ubelgiji na ulaya kwa ujumla.

sema naskia dogo anapiga dem flan kinondon,ambae alikua video model wa mwanamuzik mmoja anaechanganya ladha mara kufokafoka mara kubana pua wa pale manzese,huyo dem anasoma chuo kimoja katikat ya jiji la dar,nyeti zinadai kuwa dem kapitiwa na muuza chips wa huko kinondoni mwenye virusi vya ukimwi,anaedaiwa kusambaza kwa makusudi virusi hivyo..kama ni kweli,tuombe mungu iwe alitumia kinga ili tupate mbongo wa kwanza kucheza uefa
 


Mlitaka asitomb.e

CC: Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Genk walikuwa saf sana na ni moja ya klabu kubwa barani ulaya lakini siku hizi mmmhhhj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…