Ajib yupi !!! Migomba!!!!!? Labda akafanye kaz ya kubeba mikoba ya wachezaji wenzake huko Ulaya
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.
Kama sio shabiki wa mpira pita tu
Na wewe unajiita shabiki wa mpira kweli!!! Hajib hana mpira wa kuenda kucheza ulaya, hata pale Jangwani hapati namba atapata namba ulaya kwenye timu gani!!!!!?????
Sasa jangwani akafanye nini Kwa kile kiwango alicho nacho na ule ufundi.acha ushabiki maandazi wewe
Huo ufundi pale Yanga anacheza namba ya nani!!! Labda ww kwa mtazamo wako pale mbele Hajib anamtoa nani!!!!
Ww ndo una ushabiki Maandazi, ila kiukwel Hajib bado sana kufikiria kucheza ulaya. Kiwango chake ni cha kawaida sana.
Hivi wewe huwa unaangalia mpira wa bongo au unausoma kwenye magazeti
Niambie Kwanza pale Jangwani atachukua namba ya nani!!! Niambie kwanza halafu nikujibu swali lako, kama naangalia mpira au lah!!!
Niambie Kwanza pale Jangwani atachukua namba ya nani!!! Niambie kwanza halafu nikujibu swali lako, kama naangalia mpira au lah!!!
Hivi unajuwa ajib anacheza nafasi gani
hahahaha wewe jamaa kweli ni kiazi wa kutupwa hivi hiyo yanga ya jangwani na TP MAZEMBE ipi ipo juu??
hawezi kuja kucheza yanga kwa kuwa kiwango chake hakiruhusu kucheza yanga.
Wewe Jamaa kumbe ni sifur kabisa, Nilitaka uniambie Pale Jangwani anamtoa nani mbele Ngoma, Tambwe, Msuva au Kaseke!!!!????
Hata Bosnia ipo Ulaya
Mlitaka asitomb.e
CC: Evelyn Salt
acha ujinga wako kuchafua watusema naskia dogo anapiga dem flan kinondon,ambae alikua video model wa mwanamuzik mmoja anaechanganya ladha mara kufokafoka mara kubana pua wa pale manzese,huyo dem anasoma chuo kimoja katikat ya jiji la dar,nyeti zinadai kuwa dem kapitiwa na muuza chips wa huko kinondoni mwenye virusi vya ukimwi,anaedaiwa kusambaza kwa makusudi virusi hivyo..kama ni kweli,tuombe mungu iwe alitumia kinga ili tupate mbongo wa kwanza kucheza uefa
Genk Fc ni klabu kubwa sana ubelgiji na ulaya kwa ujumla.
Nilicheka sana nilivyoona hii post, pia nikajiuliza kuwa haya ni mambo ya Watz au JF!Mlitaka asitomb.e
CC: Evelyn Salt
Nilicheka sana nilivyoona hii post, pia nikajiuliza kuwa haya ni mambo ya Watz au JF!
cc. Mndengereko One