Sammo Hong: Kibonge mtaalamu wa movie toka enzi hizo

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Najua wachache wanamjua mtaalmu huyu hasa kwenye filamu za mapigano na ule unene wake lakini anapiga kung fu shida, kacheza na mastaa wengi nao movie tofauti kama Jacky Chan, Bluce Lee, Donny Yen, Jet Lee, na wengine wengi.
 
Kuna picha moja alicheza na mapacha fulani iv....alikuwa anatembeza mkono balaa..
 
Najua wachache wanamjua mtaalmu huyu hasa kwenye filamu za mapigano na ule unene wake lakini anapiga kung fu shida, kacheza na mastaa wengi nao movie tofauti kama Jacky Chan, Bluce Lee, Donny Yen, Jet Lee, na wengine wengi.
Yuen Biao kapotelea wapi yule jamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…