Samora Moisés Machel

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937

Kama ilivyo kwa wana siasa na wapigania uhuru wengi wa nchi za Bara la Afrika, ni Mwana mapinduzi ambaye historia ya utawala wake ilitawaliwa na jitihada za dhati za kujihimarisha kwa kuwapoteza wapinzani wake kwa gharama yeyote ile. Mfumo wa utawala wa jinsi ambayo umepelekea viaongozi wengi wa Afrika kupoteza maisha yao au kushindwa kuenziwa mara wanapomaliza muda wao madarakani au wakishakufa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…