Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Mpango wa miradi ya ujenzi wa nyumba za kupangisha za gharama nafuu ni vema zikawa ambazo wengi wanaweza kumudu kupanga na ghama wanayoweza kumudu wenye kipato cha kawaida. Binafsi naona nyumba hizi ujenzi wake ni simple na ni za kiwango cha kuvutia.
Mfano kama kiwanja ni cha nusu eka kuna uwezekano wa nyumba kama nne hadi sita za two bedroom, living room na kitchen bila kusahau kuambatanisha showe na toilet. Huo ndio mpango mzima wa kuanza real estate kwa waanzaji.


