Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Hata hii imetulia tu, bora kuanza kile ambacho hakiishii njiani
yaap gharama ndo mpango nzima mana yaeza kua ivo ukaambiwa 50mil!!
Bora tujifunze kusimamia wenyewe ujenzi huu kwa kuwatumia mafundi wa kawaida kama vibarua ndio mpango mzima wa kubana matumizi, achana na mafundi wale wavaaji mashati ya mkino mirefu.
yaap gharama ndo mpango nzima mana yaeza kua ivo ukaambiwa 50mil!!
Tafadhali saana jitahidi kutumia mafundi wanaojulikana na CRB kuepuka gharama zisizojulikana kutoka kwa mafundi wa kawaida. Ukiwatumia hao nyumba haitakuwa ya gharama nafuu achilia mbali ubora wake!
Two bedrooms haizidi mil 20..
Kwa kutumia hizi hydroform blocks
kwa hizo nyumba ml 20 khali
nimependa hiyo iliyopeke yake
Hata hii imetulia tu, bora kuanza kile ambacho hakiishii njiani
Vigumu kukadiria kwa jumla kwa sababu ya gharama za ujenzi kutofautiana kadiri ya mazingira unayokusudia kujnga. Mfano ujenzi wa Dar utakaribiana na ujenzi katika jiji la Arusha, lakini mikoa mingine inahitilafiana kwa vikubwa, hivyo inategemea wapi unakusudia kujenga na ujenzi wa aina gani kwa ramani kama hii.Nyumba kama hii inaweza ikagharimu kiasi gani A to Z? Yaani ujenzi wake wote?