Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili.Watu tunakomaa tu JF app japo picha hazifunguki.
Moderator na Maxence Melo mnatuchora tu.
Hili suala limekuwa issue kwenu kulifix au mnafanya makusudi kwa malengo yenu maalum.
Hakuna matata mkuu, hilo nimeliona. Tuendelee kuchapa kazi.Mkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili.
Tunaomba radhi na subira kutoka kwenu wanachama wetu.
Ni kweli picha hazifunguki kabisaa siku hiziWatu tunakomaa tu JF app japo picha hazifunguki.
Moderator na Maxence Melo mnatuchora tu.
Hili suala limekuwa issue kwenu kulifix au mnafanya makusudi kwa malengo yenu maalum.
Hata mimi nashangaa sana. Na wamekaa kimya kabisa kama hawajui kama.kuna tatizo. Watuambie kama wamekwama tuwaletee wataalam wa IT wawasaidie.Watu tunakomaa tu JF app japo picha hazifunguki.
Moderator na Maxence Melo mnatuchora tu.
Hili suala limekuwa issue kwenu kulifix au mnafanya makusudi kwa malengo yenu maalum.
Ni sawa ila limekuwa la muda mrefu. Kama mnakwama mahali si muombe msaada. Sidhani kama kukiri kushindwa kitu ni kuonesha udhaifu. Lazima tukubali kuwa hatujui baadhi ya vitu.Mkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili.
Tunaomba radhi na subira kutoka kwenu wanachama wetu.
Nahisi wana mpango wa kuichinjia baharini jf app ili watu wakimbilie kwenye jf web.Hata mimi nashangaa sana. Na wamekaa kimya kabisa kama hawajui kama.kuna tatizo. Watuambie kama wamekwama tuwaletee wataalam wa IT wawasaidie.
Jf web ndio ile ya kuingilia kwenye browser?Nahisi wana mpango wa kuichinjia baharini jf app ili watu wakimbilie kwenye jf web.
Siamini kama wamekosa mtaalamu wa kusolve hii issue kwa maana imedumu kwa muda mrefu saaaana.
JF web is too noisy.
Hiyo hiyo mkuu.Jf web ndio ile ya kuingilia kwenye browser?
Hovyo kabisa hiyo. Hata interface yake haina mvuto!Hiyo hiyo mkuu.
Watanzania wannakuja juu sana kwenye designingUnaomba wapi?
Mwamba nimekucheki pmMkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili.
Tunaomba radhi na subira kutoka kwenu wanachama wetu.
Mkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili.
Tunaomba radhi na subira kutoka kwenu wanachama wetu.
Habar...PM kwangu inashindikana funguka kutuma msg kabisaMkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili.
Tunaomba radhi na subira kutoka kwenu wanachama wetu.