Da Asia
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 731
- 819
Wapendwa, mwenye sample ya mkataba wa makubaliano , please naomba. uhusiane na udalali wa nyumba ya kitu. mkataba uwe unatoka kwa dalali wa nyumba/kitu kwenda mwa muuzaji/mnunuaji. hali imekua mbaya sana watu hawalipi. kukosa maandishi pia imekua changamoto. inabidi tuwe na mikataba ya maandishi kwa kweli. wanasheria, naomba msaada wenu wa sample. mengine nitaongezea mwenyewe. asanteni na mbarikiwe sana.