Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Ndugu wanaJF,

Shahidi kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima amesema sampuli ya mkojo wa msanii Agnes Gerald 'Masogange' ulikutwa na heroin.

=====

Mfululizo wa kukamatwa, kesi, hukumu na kuachiwa huru kwa Agnes Masogange kwenye kesi ya Madawa ya kulevya
Masogange ajisalimisha mwenyewe Mahakama a Kisutu
Kupandishwa kizimbani na kusomewa shitaka
Yaliyojili wakati wa kesi ya Masogange
Masogange kupelekwa kwa Mkemia Mkuu
Kesi kusikilizwa
Tetesi za kuachiwa huru
Hukumu
 
kwenye hii thread kuna mtu atadakwa na kupimwa mkojo
 
Hivi ukikutwa na ujauzito watasema?

Sent from my TV
 
masogange si wamrudishe kwao south? alishaukana utanzania kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…