Samson Charles wa EATV kitamkuta kitu. Sidhani kama misimamo yake inapendwa na watawala. Ni vizuri mumshauri.

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306
Wenzie kimeshawakuta kitu. Uanfishi wa habari wa kiuwanaharakati hauwavutii wenye mamlaka.
Ni vizuri achague moja. Uwanaharakati kamili au kuendelea na utangazaji.
Ni wazi anaipinga serikali.

 
Ashauriwe nini?
Yaan kushiriki mawazo binafsi kwa uhuru wa kikatiba,limekuwa ni kosa siku hizi?
Mbona mfumo wa siasa umekuwa brainwashed kwa vijana wa sasa,mmekuwa watumwa wa watawala kwa mijeredi ya vitisho?
Brain Shit .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…