Samson Mwigamba hana kesi ya kujibu, Tafadhali Mahakama isipoteze pesa zetu.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Ndugu wana JF,
kila mtu hapa anafahamu fika kesi inayomkabili Samsom Mwigamba kuwachochea Polisi wasitii maagizo ya kijinga kutoka kwa wakuu wao, badala ya watu wenye akili timamu kumpongeza badala yake amefikishwa mahakamani kwa uchochezi.

Sasa swali langu na hasa kwa waandishi wa habari uchwara na wavivu wa kufikiri na wepesi kusahau, je kama Polisi wa kawaida wangeuchukuwa ushauri huu wa Samson Mwigamba leo hii hiki kitoto cha miaka 23 kingekabiliwa na kesi ya mauwaji ya kukusudia? je mbona wao waliomtuma kuuwa hawajashtakiwa?

TUMBIRI najuwa hard disc yako ina memory nzuri hebu tuwekee ule waraka hapa ili tujadili kwa weledi, na naomba mchango wa Mzee Mwanakijiji kwenye hili.
 
Mkuu Matola,
Samahani sana kwa kuchelewa kuweka hii Makala. Nilibanwa na test tangu last week. Anyway ile Makala hii hapa Mkuu wangu. Mzee Mwanakijiji karibu.



Source:
[SUP]1[/SUP] Waraka maalumu kwa askari wote

TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…