Kwa hiyo siyo ya kijanja?Low display quality (resolution),
Low processor,
Large battery (5000mAh).
Ni sawa kabisa kukaa na charge..
Pia kumbuka hio ni approximation, kutokana na matumizi MDA HUO.
Ukilinganisha na Samsung nyingine nying Ni ya kawaida kabisaaa, kumbuka hii ipo kwenye kundi la chini la low end za Samsung,K
Kwa hiyo siyo ya kijanja?
kweli mkuu labda wewe level zako ni S10 ndo maana unaleta tambo zako hapaaaa… low end unazijua weweUkilinganisha na Samsung nyingine nying Ni ya kawaida kabisaaa, kumbuka hii ipo kwenye kundi la chini la low end za Samsung,
Yaani sio tuu low end, but lowest...,
Baki na uzwazwa wako sie tunafaidi simuUkilinganisha na Samsung nyingine nying Ni ya kawaida kabisaaa, kumbuka hii ipo kwenye kundi la chini la low end za Samsung,
Yaani sio tuu low end, but lowest...,
Kabisa yaani hii kulingana na bei yake naona kama nimewapiga, ikiwa haina chaji kabisa basi itajaa kwa saa moja na dakika zake baada ya hapo natupa chaji naenda mizunguko yangu data masaa yote then nikirudi home nakuta ina asilimia 50 chaji. Nunua hiyo simu mkuu hutajutia wasikutishe wana propaganda.ipo poa sana mkuu kwa sisi watu simple hela za kuchanga inatosha sana
Vipi display yake ni Full Size au natafuta my Next moveLeo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana...storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe kabisa to 0%. Kiukweli kwa laki 4 tu kupata simu nzuri hivi ni kuonesha Samsung wapo vyema sana with low cost unapata kilicho bora. Nitaitafuta soon.
Mkuu simu gani isiyo na madhaifu hayo inayofanana bei na simu tajwaLow display quality (resolution),
Low processor,
Large battery (5000mAh).
Ni sawa kabisa kukaa na charge..
Pia kumbuka hio ni approximation, kutokana na matumizi MDA HUO.
kweli chaji inakaa sana me na s9 plus muda wote natafuta chajiMkuu simu gani isiyo na madhaifu hayo inayofanana bei na simu tajwa
kweli mkuu labda wewe level zako ni S10 ndo maana unaleta tambo zako hapaaaa… low end unazijua wewe
Duu vitu vingine bana, sasa hapo mtu unapanic nini,Baki na uzwazwa wako sie tunafaidi simu
Aise munatoa wapi pesa mimi mwaka 2021 eti nina J2 PRIMEkweli chaji inakaa sana me na s9 plus muda wote natafuta chaji
Swali ni pana mkuu, ila hakuna simu isiyo na madhaifu kabisaaa,Mkuu simu gani isiyo na madhaifu hayo inayofanana bei na simu tajwa