Ok let make it clear....mimi sina pesa za kutosha naamini simu bora ni High Enda phones au Flagships za kampuni kubwa za simu hasa SUMSUNG KWANGU ukiniwekea Billion 2 kwa accound nitanunua Hizo tu.Mbona unakua msahaulifu mkuu,
Wewe si ndio ulianza kwa kuita simu takataka?
Mkuu kumbukumbu ni muhimu, hii kitu nilishamaliza huko juu.
Achana naye huyo.Katika majadiliano ya kawaida ya kubadilishana mawazo unapoanza ku mu attack mtu baada ya hoja ni kipimo cha kupanic
Nafikiri hapa mtoa mada ameongelea ubora wa Battery ya simuLeo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana...storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe kabisa to 0%. Kiukweli kwa laki 4 tu kupata simu nzuri hivi ni kuonesha Samsung wapo vyema sana with low cost unapata kilicho bora. Nitaitafuta soon.
Afu eti laki 4 mkuu... Imeniuma kama hela nimetoa mimi 😅😅😅 ashike hata s20 tu1. Simu ina Helio p35 kama Tekino. 12nm mwaka 2021 wakati watu wapo kwenyw 5nm.
2. Simu camera yake mwisho wa kurecord video ni 1080p 30fps
3. LTE category 4 kama tekino simu hata halina speed ya internet.
4. Poor display quality
5. Plastic frame
Hapo hamna simu mzee. Siku ukishika simu nzuri ya Samsung njoo tena.
S10 ni low end?Low end ni pamoja na hiyo unayoisifia hapa. Siku ukishika premium device utakuja kufuta ulichoandika hapa.
Note 10 Ultra ndio simu gani?Kwa Angle gani unazungumzia
*kwa mada iliyopo au kwa uchumi kama wangu ni High Class
*Kwa soko la simu Duniani ni takataka tu ukilinganisha na ma Giant
Kwahiyo elewa suala ni nini Rikiboy sizani kama hazijui NOTE 10 ULTRA ma S9 nk suala kulingana na uchumi hapo ndipo unapokwama....yaani kama tunazungumzia BREVIS ni gari nzuri kwa bei yake wewe uje useme sio kweli ukaleta ma LAND ROVER, JAGUAR, VELAR
Alitaka simu ya kukaa na battery muda mrefuMkuu laki 4 ni nyingi sana kwa hiyo simu haikustahili kuuzwa laki 4 kwa hizo specs hapo mmenunua jina tu
Ewaa ukizungumzia katika mantiki hiii, now your clear...Ok let make it clear....mimi sina pesa za kutosha naamini simu bora ni High Enda phones au Flagships za kampuni kubwa za simu hasa SUMSUNG KWANGU ukiniwekea Billion 2 kwa accound nitanunua Hizo tu.
A 12 simu bora kwangu kwa Cashflow yangu
Anasema s10 ni low end nisaidie kuelewa mkuuWewe siwezi nikajibishana na wewe mkuu,
Sijui hata unaandika nini.
OOH SAWAAlitaka simu ya kukaa na battery muda mrefu
Mmeshindwa tu kuelewana na reyzzapkweli ni low end mkuu hata me nakubali. Ilaa kwa wale wenye laki 350 mpaka 400k kina kabwela ni HIGH END PHONE.
S20 shingapi ??Afu eti laki 4 mkuu... Imeniuma kama hela nimetoa mimi 😅😅😅 ashike hata s20 tu
1.3 nadhani kwa 20 plain 1.5 kwa 2p plus... sina uhakika sanaS20 shingapi ??
Sijui wewe unajua.Note 10 Ultra ndio simu gani?
Nachelea kusema we ni mweupe kwenye simu.
ndo hizo redmit sio xiaomi sijui… yani hizi hakuna tofauti na tekno 🤣 🤣 🤣Mmeshindwa tu kuelewana na reyzzap
Hakuwa na maana ya kuiponda simu yako, bali alikuwa anakuelewesha kuwa kwa pesa uliyotumia kununua hiyo simu , ungepata simu zenye specs nzuri kuliko hiyo samsung
Sikuona kama alikuwa anataka kukudharau au kukukejeli kama ulivyolipokea.
Sasa sindio nilikuwa nazungumzia mwanzo nyie wauza simu wa kariakoo aiseeEwaa ukizungumzia katika mantiki hiii, now your clear...
Yaani iwe wazi tuu, kumbe mtu unachagua kilicho bora Katika katika daraja lako, na KWAKO kinabaki kua bora hata kama kuna zaidi.
Unamaana 1.5 Million au.1.3 nadhani kwa 20 plain 1.5 kwa 2p plus... sina uhakika sana
Hapana, Ushaandika point, usitake nifukue makaburi mzee,Sasa sindio nilikuwa nazungumzia mwanzo nyie wauza simu wa kariakoo aisee