Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k

A12Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
A O2S ni ndogo hata kwa matumiz binafsi kulingana na bajeti yako hyo hapana, sema inategemea na matumizi yako ila hapo ya kuchukua ni A 12 kama uko kwenye bajeti na chenji kibao inabaki kwa mbadala Chukua POCO sema najua wengi ni Samsheeps kwahyo chukua A 12 Kama upo Dar PM nikuelekeze upate kwa bei nzuri
Nilikuwa napitia Ali Express leo nikakutana na hilo jina hebu nipe ukali wake mkuu...!
POCO mwanzo zilikuwa ziko manufactured na Xiaomi ilikuwa kama sub brand though siku zilivyoenda nilisikia poco inasimama kama independent brand sema simu zake nzuri na bei zake cheap kwa hiyo Xiamoni na Poco kama ndg fulani hivi kuweka short
Zinapatikana TZ...?
Madukan sidham hizi mostly ununue kwa e-stores
Kinachonishindaga kununua online ni ule muda wa kusubiri mpaka bidhaa ifike aiseee...! Huwa naona bora tu nitafute hapa hapa Bongo mkuu.
Chagua shipping method ya chap kama budget sio tatizo