Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
A21s ni moja kati ya Samsung yenye kamera mbovu na display sijapata onaa,Utofauti mkubwa sana, kuanzia display, camera, perfomance hadi ukaaji chaji.
Kwa A7 wenzake ni A52 na A72 kwa sasa, lowend kama A12 ama A21s hutaona upgrade yoyote ya maana
Inatumia TFT, hata processor ni ndogoA21s ni moja kati ya Samsung yenye kamera mbovu na display sijapata onaa,
Hii simu kwenye hizo nyanja siwezi hata isimamisha na A10s, labda charge.
Kukaa na chaji naipigia sarutiInatumia TFT, hata processor ni ndogo