Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ya wizi wala mkopo?Wakuu nauza simu hiyo gb64 ram 3gb used nimeitumia miezi kadhaa
Sio ya wizi wala mkopo?
Hapana chezea Wabongo a.k.a WabingoWabongo sio watu wazuri
Hawachelewi kukuuzia simu ya mkopo ukashangaa imezimwa hewani na mdai
Niliipost hapa Phone4Sale - Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04eTu picha ndo habari ya mji axee
Ila wewe akili zakoPicha?
Sumg 04e refub UK? Unajua unachoongea kweli?Hapana nilinunua refub toka uk
Ngoja nicheki ndugu yanguNimekufata PM na nimekutumia picha
Niliipost hapa Phone4Sale - Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04eBila picha... Hiyo simu ni ya wizi au mkopo
SawaKausha basi ahahahahah