William daffa
Member
- Oct 19, 2015
- 5
- 3
Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwiKiswahili kigumu title ni mpya ,content imetumika kidogo, sema tu simu used nauza ueleweke haraka.
Ukipata a11 nishtue bossHayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi
Kwa hio kwako kitu used ni kipyaaa kana ulivyoandika?Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi
Jifunze kuandika kwanza alafu ndo uje ukosoe vizuriKwa hio kwako kitu used ni kipyaaa kana ulivyoandika?