comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Soma hapa 👇👇Aliewahi kutumia Samsung a15 au anaeijua utendaji kazi wake anipe muongozo nataka niinunue, masuala ya camera siangalii sana Mimi naangalia speed na isiwe inaganda au kupata moto
Simu inaonekana ni toleo la mwaka Jana 2023 mwezi WA 11
Kote huko nshasoma, GSM arena, versus.comSoma hapa 👇👇
NdioKote huko nshasoma, GSM arena, versus.com
Nauliza kama Kuna mtu ashaitumia
Naona watu wanaponda sana mediatekNdio
Umeanza ubishi.Kote huko nshasoma, GSM arena, versus.com
Nauliza kama Kuna mtu ashaitumia
Duh wanazingua sanaNaona watu wanaponda sana mediatek
Nmenunua Xiaomi, hata hao Samsung wajipange aisee IPO vzuri mbaya kabisaSamsung wapo vizuri, software zao hazigandigandi
Xiaomi gani tajiri.MREJESHO:
Nmenunua Xiaomi, aisee kumbe hizi simu ni nzuri hivi??? Qualcomm Snapdragon hapa Samsung wajipange
Note 13 pro, Mzee Samsung ikasome, Kwanza nmeshangaa ina speaker 2 za mziki juu na chini, iko faster Sana sikujuaXiaomi gani tajiri.
BeiNote 13 pro, Mzee Samsung ikasome, Kwanza nmeshangaa ina speaker 2 za mziki juu na chini, iko faster Sana sikujua
920,000
We jidanganye samsung a15 iko vizuri sanaNmenunua Xiaomi, hata hao Samsung wajipange aisee IPO vzuri mbaya kabisa
Ngoja tuifuate Google920,000
Umeona?Ngoja tuifuate Google
Nimeiona inaonekana ya moto.Umeona?
Sio poa, ukitaka simu chukua huu mzigo hatari sanaNimeiona inaonekana ya moto.
Labda upoe poe. Mi simu mwisho kabisa top 350k hapa nina simu ya 500k aliniongezea sista 200k.Sio poa, ukitaka simu chukua huu mzigo hatari sana