Samsung A50 nikipiga au kupigiwa inaji restart naomba msaada

Samsung A50 nikipiga au kupigiwa inaji restart naomba msaada

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
807
Reaction score
385
Wakuu,

Simu yangu samsung A50, nikipiga au kupigiwa simu, baada ya dakika chache wakati naongea hukatika na kuwa kama inaji-restart hivi. Yaani siwezi kuongea zaidi ya dk. bila kukatika.

Tatizo litakuwa ni nini?
 
Umeinunua hivyo hivyo?
Huja I update kweli hio?
 
Me natumia gallax A50 tokamwaka jana mwez wa saba cjawahi kukutano na hayo matatzo.. natumia latest Android version na huwa naupdate security patch kila zinapotoka unachotakiwa kufanya ni ku Update System software alaf urudi utupe majibu kma bado inasumbua..
Screenshot_20200705-093247_Settings.jpg
View attachment 1498089
 
Natumia A50 nimenunua mwaka jana mwezi wa 8 hakuna shida yoyote mkuu jaribu ku_Update
 
Aisee sipati picha ingekuwa TECNO spark 4 jamaa angekoma kwa hizo comment
Ila kwakuwa Samsung wajuba wamekuja na Excuse toka SAMSUNG ELECTONICS
kuwa hiyo ni bahati mbaya tu ila ingekuwa tecno hiyo hilo balaa la comment hatari ingekuwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee sipati picha ingekuwa TECNO spark 4 jamaa angekoma kwa hizo comment
Ila kwakuwa Samsung wajuba wamekuja na Excuse toka SAMSUNG ELECTONICS
kuwa hiyo ni bahati mbaya tu ila ingekuwa tecno hiyo hilo balaa la comment hatari ingekuwa
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
sababu ni mara chache kutokea hilo.

na tuna uhakika na soln tunayompa.sasa tecno inakuambia setting has stoped,ili ukarekebishie wapi tatizo lake kama setting yenyewe ina wenge[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Aisee sipati picha ingekuwa TECNO spark 4 jamaa angekoma kwa hizo comment
Ila kwakuwa Samsung wajuba wamekuja na Excuse toka SAMSUNG ELECTONICS
kuwa hiyo ni bahati mbaya tu ila ingekuwa tecno hiyo hilo balaa la comment hatari ingekuwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni wivu tu umewajaa tecno sasahvi wako vzri sana
 
Back
Top Bottom