WnTElectronics
Senior Member
- Sep 7, 2013
- 130
- 7
Wapi na onyesha picha zote basi
sample pics
Mkuu bado tangazo lako halijakamilika, kwa nn usiweke kila picha na bei yake? hujaweka namba za simu, hujasema ofisi wap, am a serious buyer but nashindwa kufanya maamuz coz umekuja nusu nusu...

Nataka hiyo ndogo kwenye picha ya kwanza, ni pm with specs.
Punde na Tecno watatoa Audio system in da house sooooon