Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
upo chini sana mkuukula 600k sasa hivi
DuuuhLaki 2 cash
Njoo ukague Mkuu ukiridhika nayo unajidakishaWeka na taarifa nyingine basi.Mfano ni Model,Ports,Refresh rate,Picture Quality n.k
Dukani ndugu acha kuhisi hahaha njoo ujikagulieMbona iko kama kwa fundi?
Dukani ndugu acha kuhisi hahaha njoo ujikagulie
Duh, nilikuwa nataka niseme tanoupo chini sana mkuu
Unapouza kitu chochote cha electronic ni lazima specifications ziwekwe. Kwa nini unakwepa kuziweka? Zimekuwa bangi?Dukani ndugu acha kuhisi hahaha njoo ujikagulie
TV inaonekana ni Yale matoleo ya mwanzo kabisa
Plazma.
Stone age.
Njoo uione kama shida Ni floor ndogoHiyo floor ni ya dukani kwako?
Umehisi hivyo Mkuu ila sio wote wanauza Ni bingwa Wa kukopa wengine kimfaacho mtu chakeKwa mchanganyiko huo wa bidhaaa naona dalili za bidhaa zilizochukuliwa kimazabe kutokana na MIKOPO YA VICOBA, TAASISI BUBU ZA KUKOPESHA, WAKOPESHAJI BINAFSI bidhaa inauzwa kama dhamana au sehemu ya msako wa kurejesha madeni wa wakopaji waliokaidi marejesho