Phone4Sale Samsung Galaxy A10s inauzwa

Phone4Sale Samsung Galaxy A10s inauzwa

nyasangaboy

Senior Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
127
Reaction score
58
Habari zenu wadau, nauza simu yangu ya samsung A10s kwa bei ya 210k napatikana Mbagala Dar es Salaam iko poa kwa kila kipengele
IMG-20210127-WA0003.jpg
IMG-20210127-WA0002.jpg
IMG-20210127-WA0001.jpg
 
Mimi naitaka lakini hizi simu siku hizi kama muuzaji si mmiliki halali unajikuta matatani.
 
Kwa uhakika 180 ninayo lakini kwanza weka IMEI yake hapa kwanza ili kesho na keshokutwa isiwe miyeyusho
 
Habari zenu wadau ,nauza simu yangu ya samsung A10s kwa bei ya 210k napatikana mbagala dar es salaam iko poa kwa kila kipengele
Mkuu mbona kimya tena haujibu au umeishaiuza?mimi naitaka seriously lakini nina 180
 
KUWENI MAKINI NA SIMU ZA KUNUNUA MKONONI
wasi wasi wa nini kama mtu ana risiti na box lake. kama kuna kitu zaidi unajua weka na sisi tujifunze maanza risiti na box vinaonyesha uhalali wa umiliki toka upya wake
 
Back
Top Bottom