Samsung galaxy a55 inauzwa

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Habari wana jamii Forum ninauza simu yangu Samsung galaxy a55 ni simu kali na latest kwa series za A

Samsung Galaxy a55
Gb 256
Ram 12
5g network

Bei Tshs 900,000/=
0625 557 395
Dar Es salaam

Karibuni sana
 

Attachments

  • PXL_20250131_103908934.jpg
    393.1 KB · Views: 6
  • PXL_20250131_104022515.jpg
    418.2 KB · Views: 4
  • PXL_20250131_104000480.jpg
    414.9 KB · Views: 3
  • PXL_20250131_103857645.jpg
    385.2 KB · Views: 7
Kuuza simu mkononi za bei juu ni kazi sana hapa Tanzania.

Hizo simu za bei juu ongea na mwenye duka akuuzie dukani juu kwa juu umpoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…