Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Samsung galaxy jean 2 bado mpya nimetumia miezi mitatu tu tangu niinunue, naiuza 200k nipo Iringa mjini, ukitaka kufanya exchange na kitochi bei inapungua kidogo, ni simu yangu hakuna dalali.