astalavista
Senior Member
- Jul 7, 2014
- 156
- 160
Hapa Kimara 400K, Mbagala nilikuta 330K. Sijatambua kwanini kuna utofauti mkubwa hivyo.bei ya dukani ipoje kwa sasa
Nimetingwa jamani, nauza simu yangu ninayoitumia.
250000/=
Samsung Galaxy m11
32Gb internal Memory.
3 Ram
Triple Camera.
Battery 5000mAh.
Imetumika miezi miwili.
Hizi simu zimeingia sokoni May 2020.
Location, Kimara.
Karibu PM.
Shukrani. View attachment 1646339View attachment 1646340
Ninashida ambayo hakuna namna naweza itatua bali kutumia njia hiiKwa ninini umeamua kuiuza mapema hivi ?
PoapoaNinashida ambayo hakuna namna naweza itatua bali kutumia njia hii
Ndo naitumia sahiviKwa ninini umeamua kuiuza mapema hivi ?
Shukrani sana.Chukua 180 ipo mfuko wa shati!
Tufanye biashara mkuu naitakaNdo naitumia sahivi
Shukrani sana.
Sifahamu chochote kuhusu hiyo, jaribu kugoogle upate specification zake.Ina screen cast mkuu
Tufanye biashara mkuu naitaka
Karibu PM MkuuTufanye biashara mkuu naitaka
Hakuna kitu kibovu hata kimoja, hata mkwaruzo hakuna. Hii simu nauza huku ninahitaji, nimetingwa. Tuwe tunaelewa situation za wengine.Sina hakika kama hiyo fingerprint inafanya kaz
KaribuKuna 210,vp nije pm tuyajenge?