samsung galaxy mini 3.

samsung galaxy mini 3.

Anauza nani? Wapi?

Used au mpya.

Hiyo bei ni takribani mwaka mmoja hadi miwili back.

Mkuu siku hizi smart phone zimeshuka sana bei. hata wenye maduka ya simu wanawapa watu wanatembeza mitaani kama chinga kwa bei ya kutupa. So kama ni wewe ndio unauza hiyo mini galaxy, think about your price.
 
Upo nchi au mkoa gani?

Namna ya kukupata au ndio hadi tuje PM?
 
Pm mkuu ukiweka no wa2 wanasumbua,kwa sasa nipo chugga.
 
Back
Top Bottom